Thursday, April 2, 2015
DIAMOND PLATNUMZ_NASEMA NAWE
By Blog Hi5 at 8:47 AM
No comments
Brand new mzigo toka kwa Diamond Platnumz inakwenda kwa jina la nasema nawe akiwa na nguli wa miondoko ya mirindimo ya pwani mwanamama bi Khadija Kopa ambapo mchupa umesimamiwa na mtu mzima Hanscana the Director him self Enjoy.
Related Posts:
ANGELINA JOLIE, AFANYIWANUPASUAJI KUTOLEWA OVARI NA MIRIJA YA UZAZI … Read More
ZITO ACT CHAMUANDALIA MAKAZI Pamoja na mpango wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kuliaga Bunge kukwama jana, Chama cha ACT- Tanzania kimetangaza kukamilisha maandalizi ya kumpokea mwanasiasa huyo kuanzia leo. Normal 0 … Read More
NEW AUDIO: FRIDAY FT PRINCE TOUZ_MA LOVE DOVE It is a brand new joint yenye chemistry ya hatari, Friday pamoja na Prince Touz a.k.a Prince Tanzania, yenye mahadhi flani ya RnB/HipHop iliyobeba ujumbe wa kimapenzi ambayo imepikwa ndani ya jiko la Worl Wide Records Dodom… Read More
JE UMETOBOA SEHEMU ZA SIRI Wanawake wote walioamua kupamba sehemu zao za siri kwa kuzitoboa wanachukuliwa kuwa wamepitia ukatili wa kijinsia ama wamekeketwa kitengo cha afya kimetanabahisha hayo. Hata kama mtu huyo amefikia umri wa utu uzima … Read More
BRAND NEW SHOW: CREYZ TOP TEN Kutoka Mjengo wa Hi5 Online Radio, show mpya ya kijanja mjini imekwisha Anzisha chini ya the man him self Creyz Beez, kip downloading share na maraia wengine kisha tuma maoni yako kwa a/c ya FB Hi5 Anzisha ama kwa page yet… Read More
0 comments:
Post a Comment