Serkari
ya Tanzania kupitia TCRA ikiwa inapinga vikali matumizi mabovu ya mitanao ya kijamii
bado watumiaji wanazidi kuanika picha za utupu kila kukicha. Sasa si wanavyuo
tu hadi katika maofisi makubwa na taasisi mbalimbali za kijamii zinazopewa
heshima kubwa. Imekuwa kawaida kwa vijana na kusema ni ulimbukeni haya sasa
hadi watu wazima wameamua kupanda basi hili la picha za utupa na kusafiri
pamoja na kizazi cha instagram, watsapp na facebook.
Mwanamke mmoja ambaye ni meneja katika taasisi
flani ya fedha (BANK) aliyegundulika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na moja
kati ya wafanyakazi wake wawili ambapo mmoja kati yao alikuwa na picha za utupu
za mwanamke huyo walizopiga ofisini kwake kipindi wako katika mahusiano hayo kabla
ya kuvunjika baada ya jamaa kugundua bosi wake anatoka na mfanyakazi mwingine
ambaye ni rafiki yake ndipo alipo amua kuzi weka ama kuzianika katika kamba ya
mtandao
Kiujumla Kwa sasa Dunia imekwisha
ReplyDelete