Serkari
ya Tanzania kupitia TCRA ikiwa inapinga vikali matumizi mabovu ya mitanao ya kijamii
bado watumiaji wanazidi kuanika picha za utupu kila kukicha. Sasa si wanavyuo
tu hadi katika maofisi makubwa na taasisi mbalimbali za kijamii zinazopewa
heshima kubwa. Imekuwa kawaida kwa vijana na kusema ni ulimbukeni haya sasa
hadi watu wazima wameamua kupanda basi hili la picha za utupa na kusafiri
pamoja na kizazi cha instagram, watsapp na facebook.
Sunday, July 6, 2014
PICHA ZA UTUPU! TCRA KAZI IMEWASHINDA
Related Posts:
MOJA KATI YA DEMONSTATION ZA VISUALIZED EFX … Read More
AFUMANIWA AKILA URODA NA NG'OMBE Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
Je uliandika lini mwisho barua ya Mahaba ? Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
BWENI LA WATOTO WA KIKE LATEKETEA NA MOTO DAR Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
UJUMBE WA WhatsApp WASABABISHA TALAKA Mwanamume mmoja nchini Saudia amempa talaka mkewe kutokana na ujumbe wake katika mtandao wa WhatsApp. Kulingana na gazeti moja la kiharibu Al Hayat, mwanamume huyo amedai kwamba mkewe aliandika ujumbe unaosema ''naomb… Read More
Kiujumla Kwa sasa Dunia imekwisha
ReplyDelete