Tuesday, January 26, 2016

PICHA ZA NGONO MTANDAONI


Pamoja na serikali kuweka sheria ambayo inadhibiti na kusimamia matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii bado kuna ongezeko kubwa la matumixi mabaya ya mitandao hiyo.

Picha za utupu pamoja na zile zinazo onyesha viungo au maeneo ya siri hasa kwa upande wa mabinti ndizo zimeongezeka zaidi ukilinganisha na kipindi ambacho sheria hizo hazijawekwa, hii inaweka hatari kwa kizazi kijacho kwa kuwa tayari udhibiti huu kwa sasa unaonekana kushindwa.

0 comments:

Post a Comment