Monday, September 1, 2014

BONGO MUVIE: KINARA MPYA SOKONI




Hivi karibuni Hi5 Media chini ya tawi la Video Production ya Akonshaz Music, Visualized EFX jijini Dar es Salaam waandaaji wa kazi mbalimbali zinazo jumuisha video ama vichupa kama lugha ya vijana wengi wengi wa kisasa wasemavyo wana tarajia kuangusha mzigo wa filamu fupi inayohusu maisha ya mtaa yalivyo. Akiongea na Bloger wetu muigizaji kinara katika filamu hii fupi Joeseph Kanyopa al maarufu kama Kanyo Mc azungumzia juu ya ujio wa kazi yake iliyo pewa jina la SADALI kwa mara ya kwanza katika tasnia ya filam Tanzania, licha ya kuwa ndiyo kazi yake ya kwanza kuifanya anategemea ushauri na mawazo chanya kutoka kwa wadau watakao pata kuiona filamu ya Sadali.


Bloger wetu pia alipata nafasi ya kuongeea na Director wa filamu hiyo ya Sadali pia ndiye Mkurugenzi wa Visualized EFX Creyz Beez kwa upande wake alizungumzia ugumu alioupata wakati wa kuiongoza filamu ya Sadali. “Kushuti filamu kunahitaji maandalizi marefu sana lakini sicho kilichofanyika katika filamu hii na imetokana na kwamba tulikuwa tunahitaji kuona katika upande wa filamu matatizo ni yapi mbali na hilo muandaaji wa script hakuwasilisha script so ili bidi tufanye kazi kutegemea story board, mengine ni ya kawaida tu msanii kukosea mara kwa mara, kuchelewa kufika Location  lakini kimefanyika kitu kizuri na ndio ujio wa Visualized EFX”. Kupitia Mtandao mpana wa Hi5 Media baada ya Filamu ya Sadali kutoa itapatika katika touvuti yetu ya YouTube, pia itapatikana katika blog yetu, nikuambie tu Visulized EFX imesha Anzisha kama wasemavyo Hi5 Media stay Tune.
 Picha hizi ni snap shot za baadhi ya scene zilizomo ndani ya filamu ya Sadali.

Related Posts:

  • Serikali ya China kudhibiti dini Chama cha kikoministi cha China kimepewa mamlaka ya kudhibiti dini nchini humo. Kiongozi wa Uchina, Xi Jinping, amesema makundi ya kidini lazima yakubali kudhibitiwa na chama cha kikoministi. Akizungumza katika mkutano wa s… Read More
  • NAPE KUDILI NA MAJIPU KWENYE SANAA Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na michezo nchini,Nape Nnauye ametaja mambo manne ambayo ni vikwazo ndani ya sekta ya sanaa ya filamu nchini na kuyaita kwamba ni majipu huku akisisistiza kwamba serikali itakwenda kutunga s… Read More
  • KIZIMBANI KWA KUHIFADHI WAHAMIAJI HARAMU Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga. MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Simon Kagoli amefikishwa mahakamani kwa kosa la kuhifadhi wahamiaji haramu nyumbani kwake na kuwatumikisha mashambani. Kagoli ambay… Read More
  • TAKUKURU Kuchunguza Mabilioni ya Kikwete ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanza kuchunguza fedha za uwezeshaji maarufu kama ‘Mabilioni ya JK’ ambazo hazikurejeshwa na wakopaji nchi nzima.  Msemaji wa Takukuru, Tunu Mleli alisema jan… Read More
  • Mkataba wa LugumiHii hapa ni taarifa ya Utekelezaji Ya Kamati Ndogo ya PAC Kuhusu Mkataba wa Lugumi … Read More

0 comments:

Post a Comment