Wednesday, July 9, 2014
DIAMOND PLATNUM, WEMA SEPETU WAJIANIKA WAKIWA UTUPU
By Blog Hi5 at 1:45 PM
No comments
Bongo sasa kama mbele
yale tunayoyaona kwa tv yanakuwa live hivi ndinyo msanii wa kizazi kipya cha
bongo fleva hapa Tanzania Diamod Platnam na mpenziwe Wema Sepetu wakijiachia
kwa jakuzi nje nje bila kujua wanatizamwa na wengi kama kioo cha jamii, haya wanowafwata
wajifunze nini ikiwa walio mbele yao wanaweka ndani zao nje pasi na kujua
heshima yao katika jamii ina impact kubwa.
WEUSI "OUR TRADITION IS HIP HOP"
By Blog Hi5 at 1:41 PM
No comments
Weusi means Black,
Black means Africa, Africa means Tradition and our Tradition is “Hip Hop” that
is how Weusi Family open the bracket what do they mean by Weusi. It is one
among a greatest Hip Hop crew in Tanzania which now days are doing well in this
kind of music with their creativity and efforts they add, Weusi family is
formed by five most legendary Hip Hop artist here in Tanzania where by there is
Nick wa pili alongside his brother Joh Makini, Bonta the Conscious as a C.E.O
of the crew , Lord Eyes and the A City Finast kankara of AR G-Nako himself,
remind you that Weusi is a combination of two hip hop groups found in Arusha
where hiphpo leaves one is Nacko 2 Nacko and second is River Camp Soldier in
order to make sure that Music Industry is mantained well, “A flea doesn’t die
with one finger” and that is why these
guys come up with one best idea to conquer and master the game. Weusi came
famous after releas the single called Nje ya Box and now is Gere which is
produced by Naril take you back Weusi do a lot of single before like Bei ya Mkaa, Bum kubah, Sitaki Kazi, I see me
where even if are solo projects they dedicate them to Weusi family, Hiphop is
reality and the reality of lifestyle makes hiphop be real.
STORI YA SNURA WA MAJANGA
By Blog Hi5 at 6:31 AM
No comments
Snura Mushi ni binti mwenye vipaji vingi ndani ya tasnia ya bongo movies. Pamoja na kuwa
mwigizaji aliyekuja kwa kasi sana pia Snura ni mwanamuziki wa bongo fleva
anayefanya vizuri sana sokoni kwa nyimbo zake mbalimbali zenye mahadhi ya pwani
mithili ya mduara. Pamoja na kuwa na umbo na sura nzuri ya kuvutia snura pia
amekuwa akitawala sana vichwa vingi vya habari,magazeti na redio kutokana na
uwezo wake mkubwa wa kukata kiuno kwenye nyimbo zake.
Snura Mushi (Jina lake halisi)
alizaliwa tarehe kumi na mbili (12) mwezi wa kwanza (1) mwaka 1984 Jijini Dar
es salaam ambako aliweza kukua na kupata elimu yake hapo hapo Dar es salaam.
MTV BASE NA OMMY DIMPOZ SUPER HANDSOME
By Blog Hi5 at 5:56 AM
No comments
Wanasema kwenye miti hakuna wajenzi… ila pori hili
limepata watumizi wazuri wa miti namaanisha wasanii na matumizi ya mtandao hapo
mwanzo muvi wakati lina anza wasanii hawakuwa very in touch with internet uses
espercial izi social networks like YouTube, iTunes, even Instagram, WhattApp,
Facebook and the rest kwa ajili ya kuutangaza muziki wao. Supper Handsome Mr.
Ommy Dimpoz aonyesha mfano kwa wasanii wenzie jinsi ya kutumia mtandao na
kuchana kati mipaka ya mbali. Ngoma yake ambayo inafanya vizuri sana sasa
katika media mbalimbali za hapa nchini na hata abroad huko, NDAGUSHIMA iliyo
mulikwa huko UK(United Kingdom) chini ya mkono wake the director himself Mr. Moe Musa na kupata nafasi ya kufanyiwa
lounching kwa MTV Africa. Ukisikiliza mziki wa sasa umeeleka sana huko Nigeria
japo twisting is good but what about the Tz Identint.
ILIYO MTOA MO MUSIC-BASI NENDA VIDEO CHINI YA KIWANGO
By Blog Hi5 at 5:04 AM
2 comments
Game ya bongo inazidi kwenda next level kila kukicha
wasanii wapya wanaibuka ama kutoka kama wao wenyewe wanavyo sema, wa kuitwa Mo
Music Hit maker wa Basi Nenda aiteka hadhira kwa ngoma yake iliyo mpa umaarufu
sana na show za kutosha nchini hivi karibuni. Kwa upande wa Audio mtayarishaji
ame play part yake vyema na kumuweka kijana katika nafasi nzuri kimuziki lakini
kwa upande wa video si kama tunavyo mjua Adam Juma, ipo haja ya kuwatizamia
hawa wasanii wadogo wanapokuja na ngoma zao kali kufanya video kabla hawajatoka maana wasanii wakubwa
wanamiliki video kaliii laki Audio zao mbovu.. Wasanii wadogo wanapitia magumu mengi ikiwemo na kudharaulika kwa kazi wanazofana hadi wao wenyewe kulingana na dhamira iliyo jijenga kwa watayarishaji wengi wa Audio na Video pia kuamini kwamba masanii mpya asiyejulikana hana effect hata akitolewa kazi mbovu ubaya huja kwa watayarishaji wa video mbali na kujiharibia wanasababisha wasanii kuonekana hawajali kazi zao na watayarishaji huishia kusema undergound hawana mtonyo wa kutosha kufanya vichupa vikali.