Wednesday, July 9, 2014

ILIYO MTOA MO MUSIC-BASI NENDA VIDEO CHINI YA KIWANGO



Game ya bongo inazidi kwenda next level kila kukicha wasanii wapya wanaibuka ama kutoka kama wao wenyewe wanavyo sema, wa kuitwa Mo Music Hit maker wa Basi Nenda aiteka hadhira kwa ngoma yake iliyo mpa umaarufu sana na show za kutosha nchini hivi karibuni. Kwa upande wa Audio mtayarishaji ame play part yake vyema na kumuweka kijana katika nafasi nzuri kimuziki lakini kwa upande wa video si kama tunavyo mjua Adam Juma, ipo haja ya kuwatizamia hawa wasanii wadogo wanapokuja na ngoma zao kali kufanya video  kabla hawajatoka maana wasanii wakubwa wanamiliki video kaliii laki Audio zao mbovu.. Wasanii wadogo wanapitia magumu mengi ikiwemo na kudharaulika kwa kazi wanazofana hadi wao wenyewe kulingana na dhamira iliyo jijenga kwa watayarishaji wengi wa Audio na Video pia kuamini kwamba masanii mpya asiyejulikana hana effect hata akitolewa kazi mbovu ubaya huja kwa watayarishaji wa video mbali na kujiharibia wanasababisha wasanii kuonekana hawajali kazi zao na watayarishaji huishia kusema undergound hawana mtonyo wa kutosha kufanya vichupa vikali.

Related Posts:

  • BOMBA LA MAFUTA KUPATA UAMUZI MWISHONI MWA WIKIViongozi wa Kenya, Uganda na Tanzania mwishoni mwa wiki wanatarajiwa kutoa uamuzi wa mwisho kuhusu ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Uganda na Kenya hadi pwani. Mwaka jana, Kenya na Uganda zilikuwa zinashauri… Read More
  • MADAWA HARAMU, E.P.LSerikali ya Uingereza imeanzisha uchunguzi wa dharura kufuatia ufichuzi kuwa wachezaji nyota wa kandanda nchini Uingereza wamekuwa wakitumia madawa yaliyopigwa marufuku ya kuongeza nguvu mwilini. Gazeti la Sunday Times limech… Read More
  • SERIKALI YAPONGEZWA NA SHIRIKISHO LA WAFANYAKAZI ZANZIBARSHIRIKISHO la Vyama Huru vya Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) limeelezea kuridhishwa na juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kutekeleza mapendekezo yake, ikiwemo kuundwa kwa chombo cha majadiliano kitaif… Read More
  • MAKUBALIANO YA SYRIA MATATANIRais Barack Obama wa Marekani pamoja na mjumbe wa Umoja wa mataifa nchini Syria Staffan Di Mistura wamesema kuwa wanahofia kwamba makubaliano ya Syria huenda yakaanguka. Katika ghasia za hivi karibuni,watu 18 wamefariki kufua… Read More
  • WAPENZI JINSIA MOJA WATAHADHARISHWA UKSerikali ya Uingereza imewaonya wapenzi wa jinsia moja wanaosafiri kuelekea Marekani kutokana na sheria dhidi yao katika majimbo ya North Carolina and Mississippi. Marekani ni jamii kubwa ilio na maoni tofauti.Sheria mpya zil… Read More

2 comments:

  1. Mi nadhani hawa wasanii hata ka ni wapya wanatakiwa wajiamini na kukosoa kama wameandaliwa chini ya kiwango

    ReplyDelete
  2. Hata mbuyu ulianza kama mchicha

    ReplyDelete