Game ya bongo inazidi kwenda next level kila kukicha
wasanii wapya wanaibuka ama kutoka kama wao wenyewe wanavyo sema, wa kuitwa Mo
Music Hit maker wa Basi Nenda aiteka hadhira kwa ngoma yake iliyo mpa umaarufu
sana na show za kutosha nchini hivi karibuni. Kwa upande wa Audio mtayarishaji
ame play part yake vyema na kumuweka kijana katika nafasi nzuri kimuziki lakini
kwa upande wa video si kama tunavyo mjua Adam Juma, ipo haja ya kuwatizamia
hawa wasanii wadogo wanapokuja na ngoma zao kali kufanya video kabla hawajatoka maana wasanii wakubwa
wanamiliki video kaliii laki Audio zao mbovu.. Wasanii wadogo wanapitia magumu mengi ikiwemo na kudharaulika kwa kazi wanazofana hadi wao wenyewe kulingana na dhamira iliyo jijenga kwa watayarishaji wengi wa Audio na Video pia kuamini kwamba masanii mpya asiyejulikana hana effect hata akitolewa kazi mbovu ubaya huja kwa watayarishaji wa video mbali na kujiharibia wanasababisha wasanii kuonekana hawajali kazi zao na watayarishaji huishia kusema undergound hawana mtonyo wa kutosha kufanya vichupa vikali.
Wednesday, July 9, 2014
ILIYO MTOA MO MUSIC-BASI NENDA VIDEO CHINI YA KIWANGO
By Blog Hi5 at 5:04 AM
2 comments
Related Posts:
MAPENZI YAKATIZA UHAI WA MWANACHUO Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Elimu (Duce), jijini Dar es Salaam, Bertha Mwarabu (23), ameuawa na mwanafunzi mwenzake kwa kuchomwa kisu kwenye titi na tumboni kwa kinachodaiwa ni kutokana na wivu wa mape… Read More
Breaking News :Rais Magufuli Ateua Makatibu Tawala wa Mikoa 26 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Ki… Read More
SERA YA ELIMU BURE YATOLEWA UFAFANUZI Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, amewataka walimu na maafisa elimu kusimamia vyema majukumu yao na kuhakikisha utoaji elimu bora kwa wanafunzi ili kupata wataalamu watakaolisaidia ta… Read More
China Yakubali Kujenga Reli Ya Kati Kiwango Cha “Standard Gauge” Kilomita 2561 CHINA imekubali kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kati yenye urefu wa kilometa 2,561 kwa kiwango cha kisasa yaani "Standard Gauge" ambao zabuni za ujenzi zinatarajiwa kutanga… Read More
Barabara ya Mwenge hadi Morocco Iliyojengwa Kwa Fedha za Sherehe za Uhuru Yakamilika kwa asilimia 95 Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa amekagua mradi wa upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco yenye kilomita 4.3 ambapo ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95. Akizungumza … Read More
Mi nadhani hawa wasanii hata ka ni wapya wanatakiwa wajiamini na kukosoa kama wameandaliwa chini ya kiwango
ReplyDeleteHata mbuyu ulianza kama mchicha
ReplyDelete