
Moja kati ya nyimbo iliyobeba ujumbe wenye kuwagusa wengi walio ondokewa na wazazi wao kisha ndugu wakawadhurumu mali zilizo achwa na marehemu, ndio maudhui thabiti yaliyopo ndani ya wimbo wa Nzoi uitwao Mali ulio tungwa na muimbaji mwenyewe akishirikiana na mtayarishaji wake. Katika...