Moja kati ya nyimbo iliyobeba ujumbe wenye kuwagusa wengi walio ondokewa na wazazi wao kisha ndugu wakawadhurumu mali zilizo achwa na marehemu, ndio maudhui thabiti yaliyopo ndani ya wimbo wa Nzoi uitwao Mali ulio tungwa na muimbaji mwenyewe akishirikiana na mtayarishaji wake. Katika tasnia ya muziki muimbaji huyu ni mfano wa kuigwa katika uandishi wa nyimbo zenye kubeba ujumbe unao wagusa wengi moja kwa moja katika jamii,
Wednesday, March 25, 2015
NEW AUDIO: NZOI_MALI
By Blog Hi5 at 2:54 PM
No comments
Related Posts:
MWALIMU AKIMBIA NA MSHAHARA WA MWAKA Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk. Kebwe Stephen Kebwe ameamuru kukamatwa kwa Mwalimu Hamisi Salumu Mkoleme kwa tuhuma za kulipwa mishahara ya mwaka mmoja na nusu bila kufanya kazi katika kituo chake alichopangiwa baada ya uhamish… Read More
WAPINZANI WABUNI MBADALA WA KURUSHA YANAYOJIRI BUNGENI Wabunge wa CCM jana waliibuka kidedea walipowazidi wenzao wa upinzani kwa kura za sauti “Siyooooo” kuikataa hoja ya kutaka matangazo ya Bunge kurushwa moja kwa moja ‘live’ na televisheni. Hiyo ilitokea jana wakati Bung… Read More
465 KUSUBIRI KUNYONGWA IDADI ya Watanzania wanaosubiri kunyongwa imekuwa ikiongezeka na hadi sasa imefikia 465 kutokana na hukumu ya kifo kutotekelezwa tangu mwaka 1994. Ripoti iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika m… Read More
Punyeto yamfukuzisha kazi Waziri wa Wizara ya Mawasiliano Enock Ruberangabo Rais Jamhuri wa Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila amemtimua kazi Naibu Waziri wa Posta na Mawasiliano kutokana na kusambaa kwa video inayomuonesha akipiga punyeto ofisini Kwa mujibu wa televisheni ya taifa, RTNC, Kabila a… Read More
Mzazi wa watoto watatu aomba msaada; Pumu yamuandama MKAZI wa Kijiji cha Mapinduzi Kata ya Kigwe Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma Julietha Sokoine (24) ambaye amejifungua watoto wa watatu na ameiomba serikali,taasisi,mashirika na watu binafsi kumpatia msaada wa kifedha… Read More
0 comments:
Post a Comment