Tuesday, January 26, 2016
WEMA, IDRIS, UJAUZITO
By Blog Hi5 at 11:56 PM
No comments
Kumekuwa na uvumi mkubwa kuwa Idris Sultan na Wema Sepetu wana uhusiano wa kimapenzi na pengine very soon wawili hao watamkaribisha duniani mtoto wao wa kwanza! Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaompenda Idris ama Wema Sepetu na utapenda kufahamu aliyoyasema mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan kuhusu Wema Sepetu na vichwa vya habari za ujauzito, yapo mapya.
Related Posts:
465 KUSUBIRI KUNYONGWA IDADI ya Watanzania wanaosubiri kunyongwa imekuwa ikiongezeka na hadi sasa imefikia 465 kutokana na hukumu ya kifo kutotekelezwa tangu mwaka 1994. Ripoti iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika m… Read More
Punyeto yamfukuzisha kazi Waziri wa Wizara ya Mawasiliano Enock Ruberangabo Rais Jamhuri wa Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila amemtimua kazi Naibu Waziri wa Posta na Mawasiliano kutokana na kusambaa kwa video inayomuonesha akipiga punyeto ofisini Kwa mujibu wa televisheni ya taifa, RTNC, Kabila a… Read More
Mzazi wa watoto watatu aomba msaada; Pumu yamuandama MKAZI wa Kijiji cha Mapinduzi Kata ya Kigwe Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma Julietha Sokoine (24) ambaye amejifungua watoto wa watatu na ameiomba serikali,taasisi,mashirika na watu binafsi kumpatia msaada wa kifedha… Read More
Dr.MPANGO: Serikali ya JK haikukomba fedha Hazina WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango, amesema Serikali ya Awamu ya Nne iliyokuwa chini ya Rais Jakaya Kikwete haikukomba fedha katika Hazina kama ambavyo baadhi ya wabunge wamedai, hata Shirika la Kimataifa la Fedha … Read More
WAPINZANI WABUNI MBADALA WA KURUSHA YANAYOJIRI BUNGENI Wabunge wa CCM jana waliibuka kidedea walipowazidi wenzao wa upinzani kwa kura za sauti “Siyooooo” kuikataa hoja ya kutaka matangazo ya Bunge kurushwa moja kwa moja ‘live’ na televisheni. Hiyo ilitokea jana wakati Bung… Read More
0 comments:
Post a Comment