Saturday, April 23, 2016

CANADA KUMTIA KIZUIZINI MWANAFUNZI WA SUDAN KUSINI

Wakuu wa Canada wanasema wamemuweka kizuizini mwanafunzi wa shule ya sekondari kutoka Sudan Kusini, kwa sababu wanaamini ana umri wa miaka 29 na siyo 16, kama aliyvodai alipoingia nchini.

Jonathan Nicola anasemekana alikuwa mchezaji mzuri wa mpira wa kikapu, katika timu ya shule yake ilioko Windsor, Ontario.

Maafisa wa mpakani, wanasema mwaka jana, paspoti ya Jonathan Nicola, ilionesha kuwa alizaliwa 1998, lakini ombi lake la visa ya kuingia Marekani, lilionesha chapa yake ya kidole, ilifanana na mtu aliyezaliwa 1986.

Sasa anaweza kufukuzwa nchini.

Related Posts:

  • PICHA ZA NGONO MTANDAONI Pamoja na serikali kuweka sheria ambayo inadhibiti na kusimamia matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii bado kuna ongezeko kubwa la matumixi mabaya ya mitandao hiyo. Picha za utupu pamoja na zile zinazo onyesha viungo au… Read More
  • WEMA, IDRIS, UJAUZITO Kumekuwa na uvumi mkubwa kuwa Idris Sultan na Wema Sepetu wana uhusiano wa kimapenzi na pengine very soon wawili hao watamkaribisha duniani mtoto wao wa kwanza! Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaompenda Idris ama Wema Sep… Read More
  • DENMARK KUPITISHA SHERIA MPYA YA WAHAMIAJI Umoja wa mataifa umekosoa hatua iliyochukuliwa na bunge Danmark kupitisha sheria yenye utata ya inayojaribu kuwazuia wahamiaji kuingia katika taifa hilo. Sheria hiyo inatoa ruhusa kwa mamlaka ya serikali kutaifisha baadh… Read More
  • MAJAMBAZI WAUA KWENYE TUKIO LA UPORAJI SUPPERMARKETWAKAZI wanne wa jijini Tanga wamekufa papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa kwa risasi na majambazi . Majambazi hao waliokuwa na bunduki aina ya SMG , walivamia juzi duka kuu (supermarket) la mfanyabiashara Hamoud Ali lililo… Read More
  • MKATABA WA LUGUMI WAJADILIWA BUNGENIHATIMAYE taarifa ya utekelezaji wa mkataba tata wa Kampuni ya Lugumi Enterprises, iliyoshinda zabuni mwaka 2011 ya kufunga mashine za kuchukua alama za vidole katika vituo vya Polisi vya wilaya nchi nzima kwa gharama ya Sh bi… Read More

0 comments:

Post a Comment