Wednesday, July 9, 2014

ILIYO MTOA MO MUSIC-BASI NENDA VIDEO CHINI YA KIWANGO



Game ya bongo inazidi kwenda next level kila kukicha wasanii wapya wanaibuka ama kutoka kama wao wenyewe wanavyo sema, wa kuitwa Mo Music Hit maker wa Basi Nenda aiteka hadhira kwa ngoma yake iliyo mpa umaarufu sana na show za kutosha nchini hivi karibuni. Kwa upande wa Audio mtayarishaji ame play part yake vyema na kumuweka kijana katika nafasi nzuri kimuziki lakini kwa upande wa video si kama tunavyo mjua Adam Juma, ipo haja ya kuwatizamia hawa wasanii wadogo wanapokuja na ngoma zao kali kufanya video  kabla hawajatoka maana wasanii wakubwa wanamiliki video kaliii laki Audio zao mbovu.. Wasanii wadogo wanapitia magumu mengi ikiwemo na kudharaulika kwa kazi wanazofana hadi wao wenyewe kulingana na dhamira iliyo jijenga kwa watayarishaji wengi wa Audio na Video pia kuamini kwamba masanii mpya asiyejulikana hana effect hata akitolewa kazi mbovu ubaya huja kwa watayarishaji wa video mbali na kujiharibia wanasababisha wasanii kuonekana hawajali kazi zao na watayarishaji huishia kusema undergound hawana mtonyo wa kutosha kufanya vichupa vikali.

2 comments:

  1. Mi nadhani hawa wasanii hata ka ni wapya wanatakiwa wajiamini na kukosoa kama wameandaliwa chini ya kiwango

    ReplyDelete
  2. Hata mbuyu ulianza kama mchicha

    ReplyDelete