Wednesday, July 9, 2014

DIAMOND PLATNUM, WEMA SEPETU WAJIANIKA WAKIWA UTUPU



Bongo sasa kama mbele yale tunayoyaona kwa tv yanakuwa live hivi ndinyo msanii wa kizazi kipya cha bongo fleva hapa Tanzania Diamod Platnam na mpenziwe Wema Sepetu wakijiachia kwa jakuzi nje nje bila kujua wanatizamwa na wengi kama kioo cha jamii, haya wanowafwata wajifunze nini ikiwa walio mbele yao wanaweka ndani zao nje pasi na kujua heshima yao katika jamii ina impact kubwa.

0 comments:

Post a Comment