Wednesday, July 9, 2014

MTV BASE NA OMMY DIMPOZ SUPER HANDSOME



Wanasema kwenye miti hakuna wajenzi… ila pori hili limepata watumizi wazuri wa miti namaanisha wasanii na matumizi ya mtandao hapo mwanzo muvi wakati lina anza wasanii hawakuwa very in touch with internet uses espercial izi social networks like YouTube, iTunes, even Instagram, WhattApp, Facebook and the rest kwa ajili ya kuutangaza muziki wao. Supper Handsome Mr. Ommy Dimpoz aonyesha mfano kwa wasanii wenzie jinsi ya kutumia mtandao na kuchana kati mipaka ya mbali. Ngoma yake ambayo inafanya vizuri sana sasa katika media mbalimbali za hapa nchini na hata abroad huko, NDAGUSHIMA iliyo mulikwa huko UK(United Kingdom) chini ya mkono wake the director himself  Mr. Moe Musa na kupata nafasi ya kufanyiwa lounching kwa MTV Africa. Ukisikiliza mziki wa sasa umeeleka sana huko Nigeria japo twisting is good but what about the Tz Identint.

0 comments:

Post a Comment