• This is Slide 1 Title

    This is slide 1 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • This is Slide 2 Title

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • This is Slide 3 Title

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Tuesday, January 26, 2016

WEMA, IDRIS, UJAUZITO


Kumekuwa na uvumi mkubwa kuwa Idris Sultan na Wema Sepetu wana uhusiano wa kimapenzi na pengine very soon wawili hao watamkaribisha duniani mtoto wao wa kwanza! Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaompenda Idris ama Wema Sepetu na utapenda kufahamu aliyoyasema mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan kuhusu Wema Sepetu na vichwa vya habari za ujauzito, yapo mapya.





PICHA ZA NGONO MTANDAONI


Pamoja na serikali kuweka sheria ambayo inadhibiti na kusimamia matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii bado kuna ongezeko kubwa la matumixi mabaya ya mitandao hiyo.

Picha za utupu pamoja na zile zinazo onyesha viungo au maeneo ya siri hasa kwa upande wa mabinti ndizo zimeongezeka zaidi ukilinganisha na kipindi ambacho sheria hizo hazijawekwa, hii inaweka hatari kwa kizazi kijacho kwa kuwa tayari udhibiti huu kwa sasa unaonekana kushindwa.

DENMARK KUPITISHA SHERIA MPYA YA WAHAMIAJI



Umoja wa mataifa umekosoa hatua iliyochukuliwa na bunge Danmark kupitisha sheria yenye utata ya inayojaribu kuwazuia wahamiaji kuingia katika taifa hilo.
Sheria hiyo inatoa ruhusa kwa mamlaka ya serikali kutaifisha baadhi ya mali za wahamiaji wapya ili kufidia gharama ya huduma watakazopata.Sheria hiyo pia inalazimisha wakimbizi kusubiri hadi miaka mitatu kabla ya kuleta familia zao nchini nchini Denmark.
Upigaji kura umekamilika, 81 wamepiga kura ya ndio na 27 wamepiga kura ya hapana kukataa muswada, kura moja imeharibika, mswada umekubaliwa na sasa utapelekwa kwa Waziri Mkuu.
Mbali na kuzuiwa kuingia nchini Denmarka sasa wakambizi watakaopenya na kuingia nchini humo sasa ni ruksa kwa serikali kutaifisha mali zao kwa lengo la kufidia gharama za kuwahudumia.
Aidha wakimbizi waliobahatika kuingia hawataruhusiwa kuleta familia hadi miaka mitatu itimie.

Hi5 Online Media 2016 Be Inspired

Mwaka mpya umeanza kwa kupanga jinsi ya kuongeza ufanisi wa kazi pamoja na kuhakikisha kazi zinazo fanyika Hi5 Media ikiwemo ufikishaji wa habari kwa njia ya mtandao inafikiwa katika kiwango stahiki pamoja na vipindi kwa njia ya redio www.hulkshare.com/hi5onlineredio na kwa njia ya video kupitia youtube channel Ya www.youtube.com/hi5media huku mipango yote ikiwa imelenga kutimiza kauli mbiu ya mwaka huu, Be Inspired