Sunday, April 24, 2016

Serikali ya China kudhibiti dini

Chama cha kikoministi cha China kimepewa mamlaka ya kudhibiti dini nchini humo.

Kiongozi wa Uchina, Xi Jinping, amesema makundi ya kidini lazima yakubali kudhibitiwa na chama cha kikoministi.

Akizungumza katika mkutano wa siku mbili mjini Beijing,rais Xi alisema itikadi za dini lazima zifuate sheria na utamaduni wa Uchina.

Alisema dini haina mchango katika siasa za nchi.

Rais Xi piya alionya watu wa nje wanaingilia kati ya mambo ya taifa kwa kupitia njia za kidini.

Watu wa Uchina wanahimizwa kuhudhuria maeneo ya ibada yaliyokubaliwa na taifa na wanaweza kutiwa adabu kali wakifanya ibada kinyume cha sheria.

Related Posts:

  • Hi5 Online Media 2016 Be Inspired Mwaka mpya umeanza kwa kupanga jinsi ya kuongeza ufanisi wa kazi pamoja na kuhakikisha kazi zinazo fanyika Hi5 Media ikiwemo ufikishaji wa habari kwa njia ya mtandao inafikiwa katika kiwango stahiki pamoja na vipindi kwa nj… Read More
  • WEMA, IDRIS, UJAUZITO Kumekuwa na uvumi mkubwa kuwa Idris Sultan na Wema Sepetu wana uhusiano wa kimapenzi na pengine very soon wawili hao watamkaribisha duniani mtoto wao wa kwanza! Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaompenda Idris ama Wema Sep… Read More
  • PICHA ZA NGONO MTANDAONI Pamoja na serikali kuweka sheria ambayo inadhibiti na kusimamia matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii bado kuna ongezeko kubwa la matumixi mabaya ya mitandao hiyo. Picha za utupu pamoja na zile zinazo onyesha viungo au… Read More
  • DENMARK KUPITISHA SHERIA MPYA YA WAHAMIAJI Umoja wa mataifa umekosoa hatua iliyochukuliwa na bunge Danmark kupitisha sheria yenye utata ya inayojaribu kuwazuia wahamiaji kuingia katika taifa hilo. Sheria hiyo inatoa ruhusa kwa mamlaka ya serikali kutaifisha baadh… Read More
  • RAISI KIKWETE AWEKA SHADA LA MAUWA KABURI LA MASHUJAA ALGERIA  R Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la mauwa kwenye kaburi la mashujaa Algeria Jumapili Mei 10, 2015 … Read More

0 comments:

Post a Comment