Tuesday, March 24, 2015

BRAND NEW SHOW: CREYZ TOP TEN


Kutoka Mjengo wa Hi5 Online Radio, show mpya ya kijanja mjini imekwisha Anzisha chini ya the man him self Creyz Beez, kip downloading share na maraia wengine kisha tuma maoni yako kwa a/c ya FB Hi5 Anzisha ama kwa page yetu Hi5 Media Edutainment. Mbali na comment zako unaweza pia kututumia list ya ngoma zako kali kwa ajili ya maandalizi ya mwezi ujao and this tym arround no kiding the team is exited to give the best kwa njia ya mtandaosi kip like us on our page and if alredy like the invite wengine.

0 comments:

Post a Comment