Friday, March 20, 2015

AFUMANIWA AKILA URODA NA NG'OMBE



Wanakijiji wafurika katika boma hilo eneo la mugomoine, kiambaa huko Kenya wakishuhudia tukio hilo la kustaajabisha, jamaa adaiwa kufumaniwa akifanya ngono na ng’ombe mashahidi wadai kumuona akiwa anapanga mawe ili kufikia urefu kasha kuvua nguo na kuanza kufanya kitendo hiko cha kikatili.
Baada ya mjadala kuzuka kwanini jamaa huyo mshtakiwa ambaye jina lake limehifadiwa kumchagu ng’ombe huyo ndipo mama mmoja miongoni mwa mashuhuda asema kuwa ng’ombe huyo alikuwa mja mzito labda ndicho kilicho mvutia mshtakiwa, na je jamaa alijuaje kuwa ng’ombe Yule ni mja mzito..?

Wananchi waliokuwa na hasira walitaka kumpa kichapo mithili ya mbwa mwitu lakini punde askari nao wakawa wamewasili eneo la tukio na kumchukua mtuhumiwa huyo kwa ajili ya hatua za kisheria kuchukuliwa, lakini mstakiwa hakukubali mashtaka hayo.

0 comments:

Post a Comment