Tuesday, March 24, 2015

NEW AUDIO: FRIDAY FT PRINCE TOUZ_MA LOVE DOVE

http://www.hulkshare.com/hi5music/friday-ft-prince-touz-ma-love-dove
It is a brand new joint yenye chemistry ya hatari, Friday pamoja na Prince Touz a.k.a Prince Tanzania, yenye mahadhi flani ya RnB/HipHop iliyobeba ujumbe wa kimapenzi ambayo imepikwa ndani ya jiko la Worl Wide Records Dodoma chini ya chief cooker Uncrackable mwamba.
Akiongea na  Hi5 hivi karibuni moja kati ya msanii aliyeshiriki katika ngoma hiyo alisema kuwa wapo mbioni kutoa vidio ya nyimbo hiyo si tu kwakuwaangalia mashabiki wao bali ni pamoja na kulitizamia soko la sasa.
Friday akiwa location akishuti baadhi ya vipande vya nyimbo yake ya Ma Love Dove


Kushoto ni Prince Touz Akiwa na moja kati ya mamodle wa kwenye vidio ya Ma Love Dove wakiwa On Set

0 comments:

Post a Comment