Tuesday, March 24, 2015

ANGELINA JOLIE, AFANYIWANUPASUAJI KUTOLEWA OVARI NA MIRIJA YA UZAZI




Actress maarufu wa filamu nchini Marekani, Angelina Jolie amelazimika kutoa ovari zake pamoja na mirija ya uzazi baada ya uchunguzi kuonesha kuwa alikuwa katika hatari ya kuathirika na saratani ya nyumba ya uzazi.

0 comments:

Post a Comment