Tuesday, March 24, 2015
BRAND NEW SHOW: CREYZ TOP TEN
By Blog Hi5 at 2:06 PM
No comments
Kutoka Mjengo wa Hi5 Online Radio, show mpya ya kijanja mjini imekwisha Anzisha chini ya the man him self Creyz Beez, kip downloading share na maraia wengine kisha tuma maoni yako kwa a/c ya FB Hi5 Anzisha ama kwa page yetu Hi5 Media Edutainment. Mbali na comment zako unaweza pia kututumia list ya ngoma zako kali kwa ajili ya maandalizi ya mwezi ujao and this tym arround no kiding the team is exited to give the best kwa njia ya mtandaosi kip like us on our page and if alredy like the invite wengine.
Related Posts:
DIAMOND PLATNUM SERENGETI FIESTA FULL SHOW Anayepeta kwa Ubunifu na umahiri katika tungo zake za nyimbo mbalimbali ambaye kwa sasa anamekuwa nominated kunyang'anyia tuzo ya msanii bora wa Afrika pamoja na East Africa ndani ya MTV akiwa katika safu moja na mtu mzima … Read More
DENI LA BILIONI 102 MSD: SERIKALI YAWEKWA KITIMOTO BUNGENI MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, mkoani Rukwa, Bw. Ally Mohamed Kessy (CCM), ameitaka Serikali itoe tamko la haraka kuhusu hali ya upatikanaji huduma za afya katika hospitali za umma. Alisema hivi sasa maafa yanayowapata Wata… Read More
NEW OFFICIAL VIDEO LIL WYNE_KRAYZ Wanamuaita walking mesiums kwa alivyo chafukwa na Tattoo za kutosha zenye kumbukumbu tofauti tofauti kulingana na aliyokwisha pitia… Read More
DIAMOND ANASWA AKIWA KITANDANI NA WEMA Wema sepetu akilalamika juu ya jokate kipande hiki kina sauti ya wema akiwa anatoa ya moyoni kwa Jocate… Read More
Hi5 Afya Leo EP 1_Vidonda Vya Tumbo Bofya Hapa Kusikiliza Kipindi Cha Hi5 Afya Leo Ep 1… Read More
0 comments:
Post a Comment