Moja kati ya mikosi anayo kutana nayo Chris Brown ni kukumbana na
matatizo ama shutuma za ugomvi na watu tofauti tofauti.. leo Hi5 Anzisha kitovu
cha habari kimenasa jipya, hivi karibuni Chris Brown Hit maker wa “LOYAL” ameripotiwa
kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu bibie Karrueche Tran, kama ilivyo pale
mahusiano yanapo vunjika basi kila mmoja anachukua chake na kurudisha walivyo
peana ndicho kilichotokea kwa wapendanao hawa Chris Bwown na mwenziwe Karrueche
baada ya kuachana kila mmoja aka delete picha za mwezie kwa instagram na
mitandao mingine waliyo kuwa wamepost picha zao pindi wako katika penzi zito. Kwa
mujibu wa chanzo chetu cha habari kuacha na kurudiana ndio mchezo wa wapenzi
hawa kweli wagombanao ndio wapatanao.
Tuesday, July 8, 2014
CHRIS BWOWN ATEMANA NA MPENZI WAKE KARRUECHE
By Blog Hi5 at 2:42 PM
No comments
Related Posts:
MAPENZI YAKATIZA UHAI WA MWANACHUO Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Elimu (Duce), jijini Dar es Salaam, Bertha Mwarabu (23), ameuawa na mwanafunzi mwenzake kwa kuchomwa kisu kwenye titi na tumboni kwa kinachodaiwa ni kutokana na wivu wa mape… Read More
SERA YA ELIMU BURE YATOLEWA UFAFANUZI Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, amewataka walimu na maafisa elimu kusimamia vyema majukumu yao na kuhakikisha utoaji elimu bora kwa wanafunzi ili kupata wataalamu watakaolisaidia ta… Read More
China Yakubali Kujenga Reli Ya Kati Kiwango Cha “Standard Gauge” Kilomita 2561 CHINA imekubali kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kati yenye urefu wa kilometa 2,561 kwa kiwango cha kisasa yaani "Standard Gauge" ambao zabuni za ujenzi zinatarajiwa kutanga… Read More
UDA: UCHUNGUZI UNAENDELEA Wakati Serikali ikiendelea kuchunguza mikataba kati ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda) na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) kuhusu Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu… Read More
Barabara ya Mwenge hadi Morocco Iliyojengwa Kwa Fedha za Sherehe za Uhuru Yakamilika kwa asilimia 95 Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa amekagua mradi wa upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco yenye kilomita 4.3 ambapo ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95. Akizungumza … Read More
0 comments:
Post a Comment