Sunday, July 6, 2014

PICHA ZA UTUPU! TCRA KAZI IMEWASHINDA



Serkari ya Tanzania kupitia TCRA ikiwa inapinga vikali matumizi mabovu ya mitanao ya kijamii bado watumiaji wanazidi kuanika picha za utupu kila kukicha. Sasa si wanavyuo tu hadi katika maofisi makubwa na taasisi mbalimbali za kijamii zinazopewa heshima kubwa. Imekuwa kawaida kwa vijana na kusema ni ulimbukeni haya sasa hadi watu wazima wameamua kupanda basi hili la picha za utupa na kusafiri pamoja na kizazi cha instagram, watsapp na facebook.

Mwanamke mmoja ambaye ni meneja katika taasisi flani ya fedha (BANK) aliyegundulika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na moja kati ya wafanyakazi wake wawili ambapo mmoja kati yao alikuwa na picha za utupu za mwanamke huyo walizopiga ofisini kwake kipindi wako katika mahusiano hayo kabla ya kuvunjika baada ya jamaa kugundua bosi wake anatoka na mfanyakazi mwingine ambaye ni rafiki yake ndipo alipo amua kuzi weka ama kuzianika katika kamba ya mtandao

1 comments: