Sunday, July 6, 2014

NEW: BLOGGER AIFUNGUKIA Hi5 MEDIA



Toka kuanzishwa kwa Hi5 Media mpaka sasa inajivunia kuwa na maendeleo machache kwa kiasi chake, they say kila mwanzo difficulties lazima ziwepo even thought kukata tama si moja kati ya vitu vinavyopewa kipaumbele ndani na nje ya Hi5 Media. Kila wazo huja ikiwa dogo lenye udhaifu mwingia just like a child anaye zaiwa huitaji handleling ya hali ya juu ukilinganisha na mtu mzima the same thing kuja kwa wazo la Hi5 Media, kuunda media yenye mfumo wa kutangaza kwa njia ya mtandandao si jambo dogo akini kadri siku zinavyozidi kwenda na uwezo wa kutafakari na kupembua mambo pia unaongezka.


Wapenzi wa matumizi ya mtandao Hi5 Media itakuwa ipo kwa ajii ya kukupatia habari tofauti tofauti zikiwa zimeandaliwa kwa kiwango stahili kwa kuwa tunajua ipo mitandao mingi tu inayofanya kazi kama Hi5 Media but let me tell you some utakuwa unaenjoy zaidi once uko na uptodates za Hi5 Media. Nguvu ya ziada pia inahitajika hususani kutoka kwako msomaji namfuatiliaji wetu wa Hi5 Media, like, comment, share pia wajulishe na wenzio that Hi5 Media iko na mazuri kwa ajili ya viewer na readers wetu

0 comments:

Post a Comment