Monday, April 25, 2016

PICHA ZA UCHI ZAMFUNGA SIWEMA WA NEY WA MITEGO



Wiki iliyopita zilianza kusikika taarifa mbalimbali kuhusu kuhukumiwa kwa mpenzi wa zamani na mama mtoto wa msanii Nay wa Mitego aliyehukumiwa kwenda jela miaka miwili  jijini  Mwanza.

Pamoja na taarifa zote hizo kutoka hakukuwa na taarifa za kina kuelezani nini hasa kilitokea mahakamani mpaka akahukumiwa jela miaka miwili  ila taarifa za awali  zilidaikwamba amehukumiwa kwa sababu ya kutukana mtu mtandaoni.
Wakili wa serikali Moris Mtoi ameongea kwenye exclusive interview na DStv  na kusema ukweli au chanzo cha Siwema kuhukumiwa hakikua kumtukana mtu mitandaoni bali kumtishia mtu.
Amesema kilichompeleka Siwema jela ni kumtishia mpenzi wake wa zamani kutoa picha za uchi walizopiga, Siwema alikua akimtishia kwamba asingetoa pesa na kumnunulia gari au kufata maagizo yake angezisambaza picha hizo kwa mke wake na watu wengine.
Wakili huyu wa serikali na mwendesha mashtaka kwenye kesi hii amesema vitu vingine alivyokuwa akivitaka Siwema ni kununuliwa nyumba na boyfriend wake huyu wa zamani.

Related Posts:

  • UGANDA: BOMBA LA MAFUTA KUPITIA TANZANIA Uganda imeamua kujenga bomba la mafuta yake kupitia Tanzania na wala sio Kenya. Awali taifa hilo la Afrika mashariki ambayo haijapakana na bahari ilikuwa imezungumzia nia ya kujenga bomba la mafuta yake kupitia Kenya lakini … Read More
  • BAN KI-MOON AMBANA MACHAR KIREJEA JUBAKatibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon Ijumaa (22.04.2016) amemuwekea mbinyo zaidi kiongozi wa waasi nchini Sudan kusini Riek Machar kurejea mjini Juba "bila kuchelewa" na kuanza kazi katika serikali ya mpito. Kiongozi … Read More
  • BURIANI PAPA WEMBA Nyota wa muziki wa Soukous ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo- Papa Wemba amefariki dunia Papa Wemba ambaye jina lake halisi ni Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba, alianguka na kufa jukwaani akiwatumbuiza ma… Read More
  • Siri ya herufi ya mwanzo ya Jina lako Je Unajua Siri ya herufi ya mwanzo ya jina lako?. Soma hapa utaweza kuelewa Tabia zako au tabia za rafiki au mpenzi wako. >HERUFI A >Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na m… Read More
  • Watumishi HEWA Wakopa Mamilioni ya Pesa Benki; Kilimanjaro Msako ulioanzishwa na Rais John Magufuli wa kutokomeza tatizo la wafanyakazi hewa katika utumishi wa umma, umeendelea kuibua mazito, ambapo mkoani Kilimanjaro, Benki ya CRDB imejikuta ikitoa mkopo kwa waliokuwa wafanya… Read More

0 comments:

Post a Comment