Wednesday, April 27, 2016

MALI ZA PRINCE ZAHITAJI USIMAMIZI


Nyota wa muziki wa Pop Prince hakuwacha wasia ,dadaake amefichua katika stakhabadhi za mahakama.
Nakala zilizowasilishwa katika mahakama ya jimbo la Minnesota zinaonyesha,Tyka Nelson ametoa ombi la mtu atakayesimamia mali ya nyota huyo.
Prince mwenye umri wa miaka 57 alipatikana amefariki katika lifti katika studio yake ndani ya makaazi ya Minneapolis,huko Minnesota Alhamisi iliopita.
Ukubwa wa mali yake haujulikani lakini unadaiwa kuwa dola milioni 27.

Nelson prince aliyesalia na amesema katika nakala hizo kwamba hatua za haraka zinafaa kuchukuliwa ili kusimamia biashara za nduguye.
Nyimbo za Prince zimetewala chati za Uingereza wiki hii,huku mashabiki wanaomuomboleza wakinunua muziki wake huku ripota wa Hollywood akisema kuwa zaidi ya nyimbo milioni tatu za muziki wake pamoja na albamu zimenunuliwa nchini Marekani tangu kifo chake.

Related Posts:

  • WEMA, IDRIS, UJAUZITO Kumekuwa na uvumi mkubwa kuwa Idris Sultan na Wema Sepetu wana uhusiano wa kimapenzi na pengine very soon wawili hao watamkaribisha duniani mtoto wao wa kwanza! Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaompenda Idris ama Wema Sep… Read More
  • DONALD TRUMP AAHIDI KUJIBADILISHIA SIFAMgombea wa urais nchini Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican Donald Trump ameahidi kubadilisha sifa zake katika mkutano wa faragha na viongozi wa Republican. Mfanyibishara huyo ambaye yuko kifua mbele katika kuwania ur… Read More
  • MAJAMBAZI WAUA KWENYE TUKIO LA UPORAJI SUPPERMARKETWAKAZI wanne wa jijini Tanga wamekufa papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa kwa risasi na majambazi . Majambazi hao waliokuwa na bunduki aina ya SMG , walivamia juzi duka kuu (supermarket) la mfanyabiashara Hamoud Ali lililo… Read More
  • PICHA ZA NGONO MTANDAONI Pamoja na serikali kuweka sheria ambayo inadhibiti na kusimamia matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii bado kuna ongezeko kubwa la matumixi mabaya ya mitandao hiyo. Picha za utupu pamoja na zile zinazo onyesha viungo au… Read More
  • MKATABA WA LUGUMI WAJADILIWA BUNGENIHATIMAYE taarifa ya utekelezaji wa mkataba tata wa Kampuni ya Lugumi Enterprises, iliyoshinda zabuni mwaka 2011 ya kufunga mashine za kuchukua alama za vidole katika vituo vya Polisi vya wilaya nchi nzima kwa gharama ya Sh bi… Read More

0 comments:

Post a Comment